# kwa hiyo mwandishi anasema faida za kupata ufahamu na busara # utatembea katika njia... fuata njia utaishi katika njia... kufuata mfano # waovu wataondolewa kutoka katika nchi "Yahwe atawaondoa waovu kutoka katika nchi" # waovu... wasioamini "wale ambao ni waovu ... wale wasiokuwa na imani" au "watu waovu ... watu wasioamini" # wasioamini wataondolewa katika nchi ambao hawaamini atawaondoa katika nchi