sw_tn/pro/02/11.md

28 lines
689 B
Markdown

# Busara Itakulinda, ufahamu utakuongoza
"kwa sababu unafikiri kwa kutafakari na kuifahamu kweli na ubaya utakuwa salama"
# Busara
hali ya kuwa makini katika matendo na maongezi
# atakulinda
kuongoza, kukinga au kumjali mtu au kitu
# Vitakuokoa kutoka katika njia ya uovu
utajua kuishi mbali na yale maovu
# kutoka katika njia ya uovu
uovu unaongelewa kama kwamba ni njia ya kupita mtu
# ambao huziacha njia za haki na kutembea katika njia za giza
mtu anapoacha kutenda haki lakini huamua kutenda uovu ni kama mtu anayeacha kutembea kwenye njia sahihi na kuchagua kutembea kwenye njia ya giza.
# ambao huacha
Hapa neno "ambao" linahusu watu wenye kuongea mambo ya kupotosha.