# Busara Itakulinda, ufahamu utakuongoza "kwa sababu unafikiri kwa kutafakari na kuifahamu kweli na ubaya utakuwa salama" # Busara hali ya kuwa makini katika matendo na maongezi # atakulinda kuongoza, kukinga au kumjali mtu au kitu # Vitakuokoa kutoka katika njia ya uovu utajua kuishi mbali na yale maovu # kutoka katika njia ya uovu uovu unaongelewa kama kwamba ni njia ya kupita mtu # ambao huziacha njia za haki na kutembea katika njia za giza mtu anapoacha kutenda haki lakini huamua kutenda uovu ni kama mtu anayeacha kutembea kwenye njia sahihi na kuchagua kutembea kwenye njia ya giza. # ambao huacha Hapa neno "ambao" linahusu watu wenye kuongea mambo ya kupotosha.