sw_tn/pro/01/23.md

20 lines
427 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Hekima anaendelea kuongea.
# Sikiliza
"kusikiliza kwa umakini"
# Mimi nitamimina mawazo yangu kwenu
Hekima anawaambia watu kila kitu anachofikiri juu yao, mawazo yake yanaongelewa mithili ya kimiminika ambacho anaweza kuwamiminia.
# Mimi nitafanya maneno yangu yajulikane kwenu
" Nitawaambia yale ninayoyafikiria"
# Mimi nimeunyosha mkono wangu
Hii ni nahau maana yake " Nimewaalikeni kuja kwangu"