sw_tn/pro/01/18.md

12 lines
393 B
Markdown

# Watu hawa huvizia ili kujiangamiza wenyewe- huweka mtego kwa ajili yao wenyewe
watu hujiangamiza wenyewe kwa mambo ya dhambi... ni kama hutega mtego kwa kujiangamiza wenyewe.
# Hivyo ndivyo zilivyo njia za kila mmoja
"hivi ndivyo inavyotokea kwa kila mmoja"
# mapato ya udhalimu huondoa maisha ya wale ambao huyashikilia
"mapato ya udhalimu yatawaharibu wale ambao hushushikamana nayo"