# Watu hawa huvizia ili kujiangamiza wenyewe- huweka mtego kwa ajili yao wenyewe watu hujiangamiza wenyewe kwa mambo ya dhambi... ni kama hutega mtego kwa kujiangamiza wenyewe. # Hivyo ndivyo zilivyo njia za kila mmoja "hivi ndivyo inavyotokea kwa kila mmoja" # mapato ya udhalimu huondoa maisha ya wale ambao huyashikilia "mapato ya udhalimu yatawaharibu wale ambao hushushikamana nayo"