sw_tn/php/04/intro.md

764 B

Wafilipi 04 Maelezo kwa ujumla

Dhana muhimu katika sura hii

"Furaha yangu na taji langu"

Paulo alikuwa amewasaidia Wafilipi kukomaa kiroho. Kwa sababu hiyo, Paulo alifurahia na Mungu akamheshimu na kazi yake. Aliazimia kufanya wafuasi wa Wakristo wengine na na kuwatia moyo wa kukua kiroho kama ilivyo muhimu katika maisha ya kikristu. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/spirit]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/disciple]])

Uwezekano mwingine wa utata katika tafsiri ya sura hii

Euodia na Sintike

Ni wazi kwamba hawa wanawake wawili walitofautiana. Paulo aliwasihi waelewane. Walichotofautiana siyo muhimu. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-explicit)

__<< | __