sw_tn/php/04/intro.md

20 lines
764 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Wafilipi 04 Maelezo kwa ujumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana muhimu katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Furaha yangu na taji langu"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Paulo alikuwa amewasaidia Wafilipi kukomaa kiroho. Kwa sababu hiyo, Paulo alifurahia na Mungu akamheshimu na kazi yake. Aliazimia kufanya wafuasi wa Wakristo wengine na na kuwatia moyo wa kukua kiroho kama ilivyo muhimu katika maisha ya kikristu. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/spirit]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/disciple]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Uwezekano mwingine wa utata katika tafsiri ya sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Euodia na Sintike
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Ni wazi kwamba hawa wanawake wawili walitofautiana. Paulo aliwasihi waelewane. Walichotofautiana siyo muhimu. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-explicit]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[Philippians 04:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../03/intro.md) | __