sw_tn/php/04/21.md

20 lines
628 B
Markdown

# Ndugu
anawazungumzia wale watu ambao penginenwalitumika pamoja au na Paulo.
# ndugu
neno hili humaanaisha Wakristo wenza, ikijumuisha wanaume na wanawake, kwa kuwa waumini wote katika Kristo ni washiriki warithi wa familia moja ya kiroho, ambayo Mungu ni baba wa mbinguni.
# kila muumini...waumini wote
Baadhi ya matoleo yametafsiri kutumia "mtu mtakatifu" na "watu watakatifu"
# hususani wale wa familia Kaisari
Hii inazungumzia watumishi waliofanya kazi kwenye eneo la Kaisari.
# pamoja na roho zenu
Paulo anazungumzia waumini kwa kutumia neno "roho," ambayo huwawezesha wanadamu kuhusiana na Mungu. "pamoja nanyi"