# Ndugu anawazungumzia wale watu ambao penginenwalitumika pamoja au na Paulo. # ndugu neno hili humaanaisha Wakristo wenza, ikijumuisha wanaume na wanawake, kwa kuwa waumini wote katika Kristo ni washiriki warithi wa familia moja ya kiroho, ambayo Mungu ni baba wa mbinguni. # kila muumini...waumini wote Baadhi ya matoleo yametafsiri kutumia "mtu mtakatifu" na "watu watakatifu" # hususani wale wa familia Kaisari Hii inazungumzia watumishi waliofanya kazi kwenye eneo la Kaisari. # pamoja na roho zenu Paulo anazungumzia waumini kwa kutumia neno "roho," ambayo huwawezesha wanadamu kuhusiana na Mungu. "pamoja nanyi"