sw_tn/php/02/intro.md

628 B

Wafilipi 02 Maelezo kwa ujumla

Muundo na mpangilio

zimetenganisha mistari ya 6-11. Mistari hii inafafanua mfano wa Kristo. Inafunza ukweli muhimu kumhusu Yesu.

Dhana muhimu katika sura hii

Maelekezo ya matendo

Paulo anatoa maelekezo mengi ya matendo katka sura hii kwa kwanisa ya Filipi.

Tafsiri zingine zenye utata katika sura hii

"Ikiwako chochote"

Inaonekana hii ni kauli ya nadharia ingawa si hivyo kwa vile inaelezea kitu ambacho ni cha ukweli. Mtafsiri anaeza pia kutafsiri 'kwa sababu kuna.

<< | >>