# Wafilipi 02 Maelezo kwa ujumla ## Muundo na mpangilio zimetenganisha mistari ya 6-11. Mistari hii inafafanua mfano wa Kristo. Inafunza ukweli muhimu kumhusu Yesu. ## Dhana muhimu katika sura hii ### Maelekezo ya matendo Paulo anatoa maelekezo mengi ya matendo katka sura hii kwa kwanisa ya Filipi. ## Tafsiri zingine zenye utata katika sura hii ### "Ikiwako chochote" Inaonekana hii ni kauli ya nadharia ingawa si hivyo kwa vile inaelezea kitu ambacho ni cha ukweli. Mtafsiri anaeza pia kutafsiri 'kwa sababu kuna. ## Links: * __[Philippians 02:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../01/intro.md) | [>>](../03/intro.md)__