sw_tn/php/02/12.md

28 lines
654 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anawatia moyo Wakristo wa Filipino na kuwaonyesha jinsi ya kuishi maisha ya Kikristo mbele ya wengine na na kuwakumbusha mfano wake.
# mpendwa wangu
"wapendwa wangu waamini"
# katika uwepo wangu
"wakati nikiwa nanyi hapo"
# katika kutokuwepo kwangu
"wakati pasipo uwepo wangu nanyi hapo"
# wajibikieni wokovovu wenu
"kuendelea kumtii Mungu"
# kwa hofu na kutetemeka
neno "hofu" na "kutetemeka" kimsingi inamaana moja. Paulo anayatumia kusisitiza utakatifu mbele za Mungu" "tetemeka na hofu" au "na utakatifu wa ndani"
# wote kunia na kutenda
"Mungu hutenda kwa hiyo basi mtatamani kumtii na kwa hiyo basi mtamtii"