# Sentensi Unganishi Paulo anawatia moyo Wakristo wa Filipino na kuwaonyesha jinsi ya kuishi maisha ya Kikristo mbele ya wengine na na kuwakumbusha mfano wake. # mpendwa wangu "wapendwa wangu waamini" # katika uwepo wangu "wakati nikiwa nanyi hapo" # katika kutokuwepo kwangu "wakati pasipo uwepo wangu nanyi hapo" # wajibikieni wokovovu wenu "kuendelea kumtii Mungu" # kwa hofu na kutetemeka neno "hofu" na "kutetemeka" kimsingi inamaana moja. Paulo anayatumia kusisitiza utakatifu mbele za Mungu" "tetemeka na hofu" au "na utakatifu wa ndani" # wote kunia na kutenda "Mungu hutenda kwa hiyo basi mtatamani kumtii na kwa hiyo basi mtamtii"