sw_tn/oba/01/15.md

32 lines
843 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Bwana anaendelea kumpa Obadia ujumbe wake kwa Edomu
# Kwa maana siku ya Bwana iko karibu na mataifa yote
'Hivi karibuni wakati utakuja ambapo Bwana atawaonyesha mataifa yote kuwa yeye ni Bwana.'
# Kama ulivyofanya, utafanyiwa kwako
"Nitawafanyia mambo yale uliyowafanyia wengine."
# matendo yako yatarudi juu ya kichwa chako
AT "utapata matatizo kwa mambo uliyoyafanya."
# Kwa vile wewe
Neno "wewe" kwa watu wa Edomu.
# kama mlevi
Manabii huelezea watu ambao Bwana aliadhibu kama kunywa adhabu kutoka kwa Bwana AT 'kama nilivyowaadhibu.'
# Mlima wangu mtakatifu
Hii ilikuwa njia ya kutaja Yerusalemu.
# Mataifa yote yatakunywa daima
AT "Nitawaadhibu mataifa yote bila kuacha." Bwana aliadhibu Yerusalemu, lakini aliacha kabla ya kuwaangamiza watu wote. Hata hivyo, atawaadhibu mataifa yote mpaka hawako tena.