# Taarifa za jumla Bwana anaendelea kumpa Obadia ujumbe wake kwa Edomu # Kwa maana siku ya Bwana iko karibu na mataifa yote 'Hivi karibuni wakati utakuja ambapo Bwana atawaonyesha mataifa yote kuwa yeye ni Bwana.' # Kama ulivyofanya, utafanyiwa kwako "Nitawafanyia mambo yale uliyowafanyia wengine." # matendo yako yatarudi juu ya kichwa chako AT "utapata matatizo kwa mambo uliyoyafanya." # Kwa vile wewe Neno "wewe" kwa watu wa Edomu. # kama mlevi Manabii huelezea watu ambao Bwana aliadhibu kama kunywa adhabu kutoka kwa Bwana AT 'kama nilivyowaadhibu.' # Mlima wangu mtakatifu Hii ilikuwa njia ya kutaja Yerusalemu. # Mataifa yote yatakunywa daima AT "Nitawaadhibu mataifa yote bila kuacha." Bwana aliadhibu Yerusalemu, lakini aliacha kabla ya kuwaangamiza watu wote. Hata hivyo, atawaadhibu mataifa yote mpaka hawako tena.