sw_tn/oba/01/15.md

843 B

Taarifa za jumla

Bwana anaendelea kumpa Obadia ujumbe wake kwa Edomu

Kwa maana siku ya Bwana iko karibu na mataifa yote

'Hivi karibuni wakati utakuja ambapo Bwana atawaonyesha mataifa yote kuwa yeye ni Bwana.'

Kama ulivyofanya, utafanyiwa kwako

"Nitawafanyia mambo yale uliyowafanyia wengine."

matendo yako yatarudi juu ya kichwa chako

AT "utapata matatizo kwa mambo uliyoyafanya."

Kwa vile wewe

Neno "wewe" kwa watu wa Edomu.

kama mlevi

Manabii huelezea watu ambao Bwana aliadhibu kama kunywa adhabu kutoka kwa Bwana AT 'kama nilivyowaadhibu.'

Mlima wangu mtakatifu

Hii ilikuwa njia ya kutaja Yerusalemu.

Mataifa yote yatakunywa daima

AT "Nitawaadhibu mataifa yote bila kuacha." Bwana aliadhibu Yerusalemu, lakini aliacha kabla ya kuwaangamiza watu wote. Hata hivyo, atawaadhibu mataifa yote mpaka hawako tena.