sw_tn/oba/01/03.md

853 B

Taarifa za jumla

Maono ya Obadia juu ya Edomu yanaendelea

Kiburi cha moyo wako

Bwana hutumia sehemu ya mwili wa mtu unaohusishwa na hisia kwa kutaja watu wa Edomu wanahisi kiburi.

katika makaburi ya mwamba

"katika nyufa katika miamba"

katika nyumba yako ya juu

"ndani ya nyumba yako iliyojengwa mahali pa juu"

Ni nani atakayenishusha mimi chini?

Swali hili linaonyesha jinsi Waedomu walivyojivunia na kujisikia salama. AT 'Mimi ni salama kutoka kwa washambuliaji wote.'

Ingawa unasimama juu kama tai na ingawa kiota chako huwekwa kati ya nyota,

Maneno haya yote yanasema Edomu imejengwa juu sana kuliko iwezekanavyo, kusema kuwa ilijengwa mahali pa juu sana.

Nitakushusha chini kutoka huko

Kiburi unahusishwa na urefu na unyenyekevu unahusishwa na kuwa chini. Bwana anasema atauleta Edomu kusema atashusha. AT 'nitakuwezesha'