# Taarifa za jumla Maono ya Obadia juu ya Edomu yanaendelea # Kiburi cha moyo wako Bwana hutumia sehemu ya mwili wa mtu unaohusishwa na hisia kwa kutaja watu wa Edomu wanahisi kiburi. # katika makaburi ya mwamba "katika nyufa katika miamba" # katika nyumba yako ya juu "ndani ya nyumba yako iliyojengwa mahali pa juu" # Ni nani atakayenishusha mimi chini? Swali hili linaonyesha jinsi Waedomu walivyojivunia na kujisikia salama. AT 'Mimi ni salama kutoka kwa washambuliaji wote.' # Ingawa unasimama juu kama tai na ingawa kiota chako huwekwa kati ya nyota, Maneno haya yote yanasema Edomu imejengwa juu sana kuliko iwezekanavyo, kusema kuwa ilijengwa mahali pa juu sana. # Nitakushusha chini kutoka huko Kiburi unahusishwa na urefu na unyenyekevu unahusishwa na kuwa chini. Bwana anasema atauleta Edomu kusema atashusha. AT 'nitakuwezesha'