sw_tn/oba/01/03.md

28 lines
853 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Maono ya Obadia juu ya Edomu yanaendelea
# Kiburi cha moyo wako
Bwana hutumia sehemu ya mwili wa mtu unaohusishwa na hisia kwa kutaja watu wa Edomu wanahisi kiburi.
# katika makaburi ya mwamba
"katika nyufa katika miamba"
# katika nyumba yako ya juu
"ndani ya nyumba yako iliyojengwa mahali pa juu"
# Ni nani atakayenishusha mimi chini?
Swali hili linaonyesha jinsi Waedomu walivyojivunia na kujisikia salama. AT 'Mimi ni salama kutoka kwa washambuliaji wote.'
# Ingawa unasimama juu kama tai na ingawa kiota chako huwekwa kati ya nyota,
Maneno haya yote yanasema Edomu imejengwa juu sana kuliko iwezekanavyo, kusema kuwa ilijengwa mahali pa juu sana.
# Nitakushusha chini kutoka huko
Kiburi unahusishwa na urefu na unyenyekevu unahusishwa na kuwa chini. Bwana anasema atauleta Edomu kusema atashusha. AT 'nitakuwezesha'