sw_tn/num/31/52.md

16 lines
394 B
Markdown

# vitu vyote vya dhahabu ... kutoka kwa mamia vilikuwa na uzito ...
"dhahabu yote ambayo makamanda wa jeshi walitoa kwa BWANA ilikuwa na uzani wa"
# 16,750
"mia saba na hamsini"
# shsekeli
shekeli 1 ni sawa na garamu 11
# kama ukumbusho wa watu wa Israeli kwa BWANA
dhahabu itawakumbusha watu kuwa BWANA aliwapa ushindi, Pia itamkumbusha BWANA kuwa watu walitimiza kisasi kwa Wamidiani.