sw_tn/num/31/52.md

394 B

vitu vyote vya dhahabu ... kutoka kwa mamia vilikuwa na uzito ...

"dhahabu yote ambayo makamanda wa jeshi walitoa kwa BWANA ilikuwa na uzani wa"

16,750

"mia saba na hamsini"

shsekeli

shekeli 1 ni sawa na garamu 11

kama ukumbusho wa watu wa Israeli kwa BWANA

dhahabu itawakumbusha watu kuwa BWANA aliwapa ushindi, Pia itamkumbusha BWANA kuwa watu walitimiza kisasi kwa Wamidiani.