# vitu vyote vya dhahabu ... kutoka kwa mamia vilikuwa na uzito ... "dhahabu yote ambayo makamanda wa jeshi walitoa kwa BWANA ilikuwa na uzani wa" # 16,750 "mia saba na hamsini" # shsekeli shekeli 1 ni sawa na garamu 11 # kama ukumbusho wa watu wa Israeli kwa BWANA dhahabu itawakumbusha watu kuwa BWANA aliwapa ushindi, Pia itamkumbusha BWANA kuwa watu walitimiza kisasi kwa Wamidiani.