sw_tn/num/31/50.md

334 B

Taarifa kwa ujumla

Maofisa wa jeshi wanaendelea kuongea na Musa.

metali, timbi, pete za mhuri, vipini na kikuku

Hivi vyote ni vitu vya mapambo ambavyo watu huvaa.

ili kujifanyia upatanisho kwa BWANA

"kumshukuru Mungu kwa kutuokoa maisha yetu"

dhahabu na vitu vyote vilivyotengenezwa kwa ufundi

"vitu vyote vya dhahabu"