sw_tn/num/31/50.md

16 lines
334 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Maofisa wa jeshi wanaendelea kuongea na Musa.
# metali, timbi, pete za mhuri, vipini na kikuku
Hivi vyote ni vitu vya mapambo ambavyo watu huvaa.
# ili kujifanyia upatanisho kwa BWANA
"kumshukuru Mungu kwa kutuokoa maisha yetu"
# dhahabu na vitu vyote vilivyotengenezwa kwa ufundi
"vitu vyote vya dhahabu"