# Taarifa kwa ujumla Maofisa wa jeshi wanaendelea kuongea na Musa. # metali, timbi, pete za mhuri, vipini na kikuku Hivi vyote ni vitu vya mapambo ambavyo watu huvaa. # ili kujifanyia upatanisho kwa BWANA "kumshukuru Mungu kwa kutuokoa maisha yetu" # dhahabu na vitu vyote vilivyotengenezwa kwa ufundi "vitu vyote vya dhahabu"