sw_tn/num/31/28.md

24 lines
406 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongea na Musa
# Taarifa kwsa ujumla
"kwangu" inamaanisha BWANA
# Kisha toza kodi ambayo itatolewa kwangu kutoka kwa wanajeshi waliokuwa wameenda vitani
"kusanya kodi kutoka kwenye nyara za wanajeshi na uzitoe kangu."
# kati ya mia tano
"kila 500"
# kutoka katika nusu yao
"kutoka katika nusu ya maaskari"
# itakayotolewa kwangu
"ambavyo atavitoa kwangu"