# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kuongea na Musa # Taarifa kwsa ujumla "kwangu" inamaanisha BWANA # Kisha toza kodi ambayo itatolewa kwangu kutoka kwa wanajeshi waliokuwa wameenda vitani "kusanya kodi kutoka kwenye nyara za wanajeshi na uzitoe kangu." # kati ya mia tano "kila 500" # kutoka katika nusu yao "kutoka katika nusu ya maaskari" # itakayotolewa kwangu "ambavyo atavitoa kwangu"