sw_tn/num/31/28.md

406 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kuongea na Musa

Taarifa kwsa ujumla

"kwangu" inamaanisha BWANA

Kisha toza kodi ambayo itatolewa kwangu kutoka kwa wanajeshi waliokuwa wameenda vitani

"kusanya kodi kutoka kwenye nyara za wanajeshi na uzitoe kangu."

kati ya mia tano

"kila 500"

kutoka katika nusu yao

"kutoka katika nusu ya maaskari"

itakayotolewa kwangu

"ambavyo atavitoa kwangu"