sw_tn/num/31/18.md

491 B

Taarifa kwa uumla

Musa anawaambia majemedari wa jeshi la Waisraeli juu ya kujitakasa mbele za BWANA.

ambao hawajalala na mwanaume

mabikra

Ninyi wote

Yeyote ambaye alipigana kwenye hivyo vita, si majemedari tu.

mtajitakasa wenyewe

Lazima wawesafi kiroho kabla hawajarudi kambini.

Kilichotengenezwa kwa ngozi za wanyama na manyoya ya mbuzi, na kila kitu kilichotengenezwa kwa mbao

"kila kitu ambacho mtu alitengeneza kwa kutumia ngozi za wanyama, manyoya ya mbuzi, au mbao"