sw_tn/num/31/18.md

20 lines
491 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa uumla
Musa anawaambia majemedari wa jeshi la Waisraeli juu ya kujitakasa mbele za BWANA.
# ambao hawajalala na mwanaume
mabikra
# Ninyi wote
Yeyote ambaye alipigana kwenye hivyo vita, si majemedari tu.
# mtajitakasa wenyewe
Lazima wawesafi kiroho kabla hawajarudi kambini.
# Kilichotengenezwa kwa ngozi za wanyama na manyoya ya mbuzi, na kila kitu kilichotengenezwa kwa mbao
"kila kitu ambacho mtu alitengeneza kwa kutumia ngozi za wanyama, manyoya ya mbuzi, au mbao"