# Taarifa kwa uumla Musa anawaambia majemedari wa jeshi la Waisraeli juu ya kujitakasa mbele za BWANA. # ambao hawajalala na mwanaume mabikra # Ninyi wote Yeyote ambaye alipigana kwenye hivyo vita, si majemedari tu. # mtajitakasa wenyewe Lazima wawesafi kiroho kabla hawajarudi kambini. # Kilichotengenezwa kwa ngozi za wanyama na manyoya ya mbuzi, na kila kitu kilichotengenezwa kwa mbao "kila kitu ambacho mtu alitengeneza kwa kutumia ngozi za wanyama, manyoya ya mbuzi, au mbao"