sw_tn/num/31/13.md

16 lines
439 B
Markdown

# majemadari wa maelfu
Hawa ni viongozi wa majeshi waliongoza wanaume zaidi ya 1,000 lakini pungufu ya wanaume 10,000.
# wa maelfu ... maakida wa mamia
"maelfu ya maaskaari ... maaskari mamia"
# maakida wa mamia
hawa ni viongozi wa majeshi walioongoza zaidi ya wanaume 1000 lkaini pungufu ya wanaume 1000.
# Je, mmewaachca wanawake wote kuishi?
Jeshi lilivunja sheria kwa kuwaacha hai wanawake na watoto. Musa aliwakemea wanajeshi.