sw_tn/num/31/13.md

439 B

majemadari wa maelfu

Hawa ni viongozi wa majeshi waliongoza wanaume zaidi ya 1,000 lakini pungufu ya wanaume 10,000.

wa maelfu ... maakida wa mamia

"maelfu ya maaskaari ... maaskari mamia"

maakida wa mamia

hawa ni viongozi wa majeshi walioongoza zaidi ya wanaume 1000 lkaini pungufu ya wanaume 1000.

Je, mmewaachca wanawake wote kuishi?

Jeshi lilivunja sheria kwa kuwaacha hai wanawake na watoto. Musa aliwakemea wanajeshi.