# majemadari wa maelfu Hawa ni viongozi wa majeshi waliongoza wanaume zaidi ya 1,000 lakini pungufu ya wanaume 10,000. # wa maelfu ... maakida wa mamia "maelfu ya maaskaari ... maaskari mamia" # maakida wa mamia hawa ni viongozi wa majeshi walioongoza zaidi ya wanaume 1000 lkaini pungufu ya wanaume 1000. # Je, mmewaachca wanawake wote kuishi? Jeshi lilivunja sheria kwa kuwaacha hai wanawake na watoto. Musa aliwakemea wanajeshi.