sw_tn/num/31/03.md

24 lines
595 B
Markdown

# andaeni baadhi ya majeshi yenu kwa ajili ya vita
"Wapatie silaha baadhi ya wanaume"
# wakawapige Wamidiani na kubeba kisasi cha BWANA
"Nenda upigane na Wamidiani na muwadhibu kwa ajili ya kile walichotutendea"
# elfu moja ...elfu kumi na mbili
"1,000 ... 12,000"
# maelefu elfu wa Israeli na nawanaume elfu
"wanaume wengi wa Israeli"
# wanaume elfu kumi na mbili
makabila 12 walituma wanaume, pamoja na kabila la Lawi. Kila kabila lilituma wanaume 1,000 vitani"
# wanaume elfu moja walitolewa kwa kila kabila kwa ajili ya vita
"kila kabila lilitoa wanaume 1,000 kwa ajili ya vita"