sw_tn/num/31/03.md

595 B

andaeni baadhi ya majeshi yenu kwa ajili ya vita

"Wapatie silaha baadhi ya wanaume"

wakawapige Wamidiani na kubeba kisasi cha BWANA

"Nenda upigane na Wamidiani na muwadhibu kwa ajili ya kile walichotutendea"

elfu moja ...elfu kumi na mbili

"1,000 ... 12,000"

maelefu elfu wa Israeli na nawanaume elfu

"wanaume wengi wa Israeli"

wanaume elfu kumi na mbili

makabila 12 walituma wanaume, pamoja na kabila la Lawi. Kila kabila lilituma wanaume 1,000 vitani"

wanaume elfu moja walitolewa kwa kila kabila kwa ajili ya vita

"kila kabila lilitoa wanaume 1,000 kwa ajili ya vita"