# andaeni baadhi ya majeshi yenu kwa ajili ya vita "Wapatie silaha baadhi ya wanaume" # wakawapige Wamidiani na kubeba kisasi cha BWANA "Nenda upigane na Wamidiani na muwadhibu kwa ajili ya kile walichotutendea" # elfu moja ...elfu kumi na mbili "1,000 ... 12,000" # maelefu elfu wa Israeli na nawanaume elfu "wanaume wengi wa Israeli" # wanaume elfu kumi na mbili makabila 12 walituma wanaume, pamoja na kabila la Lawi. Kila kabila lilituma wanaume 1,000 vitani" # wanaume elfu moja walitolewa kwa kila kabila kwa ajili ya vita "kila kabila lilitoa wanaume 1,000 kwa ajili ya vita"