sw_tn/num/31/01.md

260 B

Uwalipizie kisasi Wamidiani kwa kile walichowafanyia Waisraeli

BWANA alikuwa anawaadhibu Wamidiani kwa sababu waliwashawishi kuabudu masanamu

utakufa na kukusanyika nawatu wako

Ni tafsida ya Musa kufa n a roho yake kwenda kule ambako mababu zake waliko