sw_tn/num/30/13.md

16 lines
383 B
Markdown

# Kila kiapo ambacho ... kinaweza kuthibitika au kubatilishwa na mume wake
"Mume wa yule mwanamke anaweza kuthibitisha au kubatilisha kiapo chochote alichofanya ambacho kinamfunga ili kujikana"
# kinachomfunga
"ambacho ameahadi kukifanya"
# ahadi zake zinazomfunga
"ahadi"
# kwa sababu hakusema chochote wakati alipozisikia
"kwa sababu hakumwambia chochote juu ya ahadi hizo"