sw_tn/num/30/13.md

383 B

Kila kiapo ambacho ... kinaweza kuthibitika au kubatilishwa na mume wake

"Mume wa yule mwanamke anaweza kuthibitisha au kubatilisha kiapo chochote alichofanya ambacho kinamfunga ili kujikana"

kinachomfunga

"ambacho ameahadi kukifanya"

ahadi zake zinazomfunga

"ahadi"

kwa sababu hakusema chochote wakati alipozisikia

"kwa sababu hakumwambia chochote juu ya ahadi hizo"