# Kila kiapo ambacho ... kinaweza kuthibitika au kubatilishwa na mume wake "Mume wa yule mwanamke anaweza kuthibitisha au kubatilisha kiapo chochote alichofanya ambacho kinamfunga ili kujikana" # kinachomfunga "ambacho ameahadi kukifanya" # ahadi zake zinazomfunga "ahadi" # kwa sababu hakusema chochote wakati alipozisikia "kwa sababu hakumwambia chochote juu ya ahadi hizo"