sw_tn/num/30/09.md

590 B

Taarifa kwa ujumla

Musa anaenedelea kuwaeleza vingozi wa makabila ambacho BWANA ameamuru

mwanamke aliyetalikiwa

"mwanamke aliyepewa talaka na mwanamume"

ambacho atakisema kufunga nafsi yake

"ambacho amejitoa mwenyewe kutimiza"

kitabaki na nguvu kinyume na yeye

Tazama 30:3

kama m mwanamke atafanya kiapo katika nyumba ya mume wake

"kama mwanamke aliyeolewa atafanya nadhiri"

basi viapo vyake vitasimama ... vitabaki na nguvu

Tazama 30:3

viapo vyakae vitasimama ... na vifungo alivyovifanya vitabaki na nguvu

"basi viapo vyake na ahadi zake ... vitabaki na nguvu"