sw_tn/num/30/09.md

28 lines
590 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Musa anaenedelea kuwaeleza vingozi wa makabila ambacho BWANA ameamuru
# mwanamke aliyetalikiwa
"mwanamke aliyepewa talaka na mwanamume"
# ambacho atakisema kufunga nafsi yake
"ambacho amejitoa mwenyewe kutimiza"
# kitabaki na nguvu kinyume na yeye
Tazama 30:3
# kama m mwanamke atafanya kiapo katika nyumba ya mume wake
"kama mwanamke aliyeolewa atafanya nadhiri"
# basi viapo vyake vitasimama ... vitabaki na nguvu
Tazama 30:3
# viapo vyakae vitasimama ... na vifungo alivyovifanya vitabaki na nguvu
"basi viapo vyake na ahadi zake ... vitabaki na nguvu"