# Taarifa kwa ujumla Musa anaenedelea kuwaeleza vingozi wa makabila ambacho BWANA ameamuru # mwanamke aliyetalikiwa "mwanamke aliyepewa talaka na mwanamume" # ambacho atakisema kufunga nafsi yake "ambacho amejitoa mwenyewe kutimiza" # kitabaki na nguvu kinyume na yeye Tazama 30:3 # kama m mwanamke atafanya kiapo katika nyumba ya mume wake "kama mwanamke aliyeolewa atafanya nadhiri" # basi viapo vyake vitasimama ... vitabaki na nguvu Tazama 30:3 # viapo vyakae vitasimama ... na vifungo alivyovifanya vitabaki na nguvu "basi viapo vyake na ahadi zake ... vitabaki na nguvu"