sw_tn/num/30/08.md

389 B

kiapo alichofanya ... manenoya midomo yake ya bila kufikiri

sentensi hizi zinamaanisha kitu kilekile. Kirai cha pili kinafafanua kiapo ambacho yule mwanamke alifanya.

maneno ya midomo yake ya bila kufikiri

"Maneno aliyosema pasipo kufikiri" au "ahadi za bila kufikiri"

ambayo kwayo amefunga nafsi yake

"ambayo amejitoa mwenyewe kutimiza"

BWANA atamfungua

"BWANA atamsamehe"