sw_tn/num/30/08.md

16 lines
389 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kiapo alichofanya ... manenoya midomo yake ya bila kufikiri
sentensi hizi zinamaanisha kitu kilekile. Kirai cha pili kinafafanua kiapo ambacho yule mwanamke alifanya.
# maneno ya midomo yake ya bila kufikiri
"Maneno aliyosema pasipo kufikiri" au "ahadi za bila kufikiri"
# ambayo kwayo amefunga nafsi yake
"ambayo amejitoa mwenyewe kutimiza"
# BWANA atamfungua
"BWANA atamsamehe"