# kiapo alichofanya ... manenoya midomo yake ya bila kufikiri sentensi hizi zinamaanisha kitu kilekile. Kirai cha pili kinafafanua kiapo ambacho yule mwanamke alifanya. # maneno ya midomo yake ya bila kufikiri "Maneno aliyosema pasipo kufikiri" au "ahadi za bila kufikiri" # ambayo kwayo amefunga nafsi yake "ambayo amejitoa mwenyewe kutimiza" # BWANA atamfungua "BWANA atamsamehe"