sw_tn/num/30/06.md

478 B

ahadi zake makini ambazo ametumia kufunga nafsi yake

"ahadi zake makini ambazo amejitoa mwenyewe kuzitimiza"

na kama atazitengua

"kama atazitengua ahadi zake"

hazitakuwa na nguvu

"hatalazikmika kuzitimiza"

BWANA atamsamehe

"BWANA atamsamaehe kwa kutotimiza ahadi zake"

angali katika hivyo viapo

"wakati bado amejitoa kutimiza viapo hivyo"

bila kufikiri

"kitu kilichofanywa pasipo kufikiri"

katika hivyo viapo

"vitu ambavyo mwenyee amehadi kuvifanya"