sw_tn/num/30/06.md

28 lines
478 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ahadi zake makini ambazo ametumia kufunga nafsi yake
"ahadi zake makini ambazo amejitoa mwenyewe kuzitimiza"
# na kama atazitengua
"kama atazitengua ahadi zake"
# hazitakuwa na nguvu
"hatalazikmika kuzitimiza"
# BWANA atamsamehe
"BWANA atamsamaehe kwa kutotimiza ahadi zake"
# angali katika hivyo viapo
"wakati bado amejitoa kutimiza viapo hivyo"
# bila kufikiri
"kitu kilichofanywa pasipo kufikiri"
# katika hivyo viapo
"vitu ambavyo mwenyee amehadi kuvifanya"